CLINICAL MEDICINE

 

 

Monday, 21 December 2020 07:59

TANGAZO LA MICHEZO

MICHEZO MICHEZO

IJUMAA YA TAREHE 18/12/2020 KUTAKUWA NA PAMBANO KALI LA MPIRA WA MIGUU, DISKO NA VIPAJI MBALI MBALI VITAONYESHWA.

  1. SEPTEMBER D VS SILVA AND ECOHAS
  2. SEPTEMBER B VS MARCH A

JIONI KUTAKUWA NA MUZIKI, BILA KUMSAHAU DJ MACHACHARI, DJ MANYWERE PAMOJA NA MC MKALI CEO G.

VIPAJI MBALI MBALI VITAONYESHWA KAMA VIPAJI VYA KUIMBA, KUCHEZA, VICHEKESHO, MUZIKI KAMA WOTE.

USAFIRI NI BURE.

PIA ZAWADI ZITATOLEWA KWA MCHEZAJI BORA, MWIMBAJI BORA NA MSHANGILIAJI BORA.

 

BY UTAWALA.

×

Pop Up Panel

Here is the pop up panel you can use to promote of any product or service that you think your customers should see at the very bottom of the website. You can use 6 different modules positions between intro-1 and intro-6.

FIND OUT MORE BUY TODAY!


TOP

Save 30

Follow the procedures to complete and submit your admission online to ECOHAS

APPLY

ADMISSION