MUOMBAJI AWE NA UFAULU KATIKA MASOMO MANNE KWA KIWANGO CHA WALAU ALAMA NNE KWA KIWANGO CHA “D” ZINAZOJUMUISHA PHYSICS, CHEMISTRY NA BIOLOGY.
EAST EVAN NI CHUO PEKEE KITAKACHOKUWEZESHA KUFAULU KOZI HIII KWANI KIKO KATIKA MAZINGIRA BORA SAANA YA KUJISOMEA, KINA WALIMU WALIOBOBEA KATIKA UFUNDISHAJI, KINA MAABARA ZA KISASA NA HOSPITALI ZA KUFANYA MAZOEZI.
CHUO KINAZO HOSTELI ZA KISASA AMBAZO ZINATOLEWA BURE KWA WANAFUNZI WOTE, ADA NI NAFUU SAANA NA INALIPWA KWA AWAMU NNE.
FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO UNAOANZA SEPTEMBER 2020 ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA CHUO www.ecohas.ac.tz, PIA UNAWEZA KUJISAJILI MOJA KWA MOJA KUPITIA www.ecohas.ac.tz AU KWA KUPIGA SIMU NAMBA : 0764 222 999 or 0758 696 903 or 0767 437737