CLINICAL MEDICINE

 

 

Friday, 12 May 2017 00:00

NAFASI ZA MASOMO CLINICAL MEDICINE

EAST EVAN COLLEGE OF HAELTH AND ALLIED SCIENCE, CHUO KILICHOPO DAR ES SALAAM, KIGAMBONI KINAKARIBISHA MAOMBI YA KWA AJILI YA KOZI ZA CERTIFICATE NA DIPLOMA YA UTABIBU (CLINICAL MEDICINE) KWA INTAKE YA SEPTEMBER 2020/21.

MUOMBAJI AWE NA UFAULU KATIKA MASOMO MANNE KWA KIWANGO CHA WALAU ALAMA NNE KWA KIWANGO CHA “D” ZINAZOJUMUISHA PHYSICS, CHEMISTRY NA BIOLOGY.

EAST EVAN NI CHUO PEKEE KITAKACHOKUWEZESHA KUFAULU KOZI HIII KWANI KIKO KATIKA MAZINGIRA BORA SAANA YA KUJISOMEA, KINA WALIMU WALIOBOBEA KATIKA UFUNDISHAJI, KINA MAABARA ZA KISASA NA HOSPITALI ZA KUFANYA MAZOEZI.

CHUO KINAZO HOSTELI ZA KISASA AMBAZO ZINATOLEWA BURE KWA WANAFUNZI WOTE, ADA NI NAFUU SAANA NA INALIPWA KWA AWAMU NNE.

FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA WA MASOMO UNAOANZA SEPTEMBER 2020 ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA CHUO www.ecohas.ac.tz, PIA UNAWEZA KUJISAJILI MOJA KWA MOJA KUPITIA www.ecohas.ac.tz AU KWA KUPIGA SIMU NAMBA : 0764 222 999 or 0758 696 903 or 0767 437737

×

Pop Up Panel

Here is the pop up panel you can use to promote of any product or service that you think your customers should see at the very bottom of the website. You can use 6 different modules positions between intro-1 and intro-6.

FIND OUT MORE BUY TODAY!


TOP

Save 30

Follow the procedures to complete and submit your admission online to ECOHAS

APPLY

ADMISSION